Rais Samia Suluhu Hassan amefungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa Jukwaa la Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki mwa Afrika (SEACJF) uliofanyika mkoani Arusha leo.