DKT. BITEKO AKITETA JAMBO NA MGOMBEA MWENZA WA URAIS , WILAYANI MBOGWE MKOANI GEITA WAKATI WA MAPOKEZI

 



Mgombea Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Balozi. Dkt. Emmanuel Nchimbi wakati akiteta jambo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Shule ya Msingi  Masumbwe, Wilayani Mbogwe Mkoa wa Geita leo Septemba 5, 2025.



Comments