DKT. BITEKO APIGIWA KURA ZA NDIYO 7,441 BUKOMBE

Idadi ya wapigakira Jimbo la Bukimbe 7,845Wajumbe waliohudhuria 7456Wajumbe wasiohudhuria 389

Idadi ya kura zilizopigwa 7456

Idadi ya kura zilizoharibika 15

Idadi ya kura halali 7441

✅ KURA ZA NDIO 7441

✅ KURA ZA HAPANA 00

WASTANI WA WAPIGA KURA WALIOJITOKEZA NI

 95.04%WASTANI WA USHINDI NI 99.8%.

                    

Comments