Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt Doto Biteko, Amesema Ukuaji wa uchumi Wa Nchi yoyote Unategemea Utapikanaji wa Nishati ya Uhakika na Yenye Gharama nafuu.
"Kwa nchini yoyote inayotaka kukua kwa kiasi kikubwa, Inategemea Nishati inayopatikana kwa uhakika na yenye bei nafuu, Bila nishati ya Gharama nafuu uchumi utabadilikna bidhaa zitazalishwa kwa Gharama kubwa zaidi" Amesema Dkt Biteko.
Ametoa hauli hiyo leo,Januari 10,2025 wakati wa mahojiano katika kipindi cha Jambo Tanzania kinachorushwa TBC1
Dkt Biteko amesisitiza kuwa serikali imejipanga kuhakikisha Umeme wa uhakika unapatikana kwa Gharama nafuu ili kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kuboresha maisha ya wananchi.
Comments
Post a Comment