ALIYOYASEMA WAZIRI WA MADINI DOTO BITEKO WAKATI WA HAFLA YA UTOAJI GAWIO KWA SERIKALI OKTOBA 13, 2020

Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutukutanisha hapa tukiwa na afya njema. Pia, nichukue nafasi hii kukushukuru kwa kutenga muda wako na kuja kuhudhuria katika hafla hii. Aidha, nakukupongeza wewe binafsi na Serikali yako ya Awamu ya Tano kwa kuendelea kuwa mbeba maono na kutupa miongozo na maelekezo katika usimamizi wa Sekta ya Madini. Sekta ya madini mebadilika sana na aliyeifanya sekta hii kubadilika ni wewe Rais Dkt. John Magufuli.

# Mabadiliko ya Sheria ya Madini ya Mwaka 2017 Muungano wa Tanzania lilifanya marekebisho ya Sheria ya Madini Sura ya 123 na kutunga Sheria mpya mbili: Sheria ya Mamlaka ya Nchi kuhusu Usimamizi wa Maliasili na Raslimali za nchi na Sheria ya Raslimali na Maliasili za Nchi (Mapitio ya Mikataba yenye Vifungu Kandamizi).

# Kufuatia marekebisho hayo ya sheria na usimamizi imara wa Sekta ya Madini, mafanikio mbalimbali yamepatikana. Mafanikio hayo ni pamoja na

# Kuongezeka kwa mapato ya Serikali kutoka shilingi bilioni 168 Mwaka wa Fedha 2014/15, hadi shilingi bilioni 528 kwa Mwaka wa Fedha 2019/20.

# Wizara ilifanikiwa kuvuka lengo la makusanyo la Shilingi bilioni 470 la Mwaka wa Fedha 2019/2020 zilizopangwa na Serikali na kuweza kukusanya Shilingi bilioni 528.24 sawa na asilimia 112.4. 

#Kufuatia Sheria ya Local Content, Tumeshuhudia kuwa, huduma zote zinazopatikana nchini zimeendelea kununuliwa hapahapa nchini ikiwa ni pamoja na vyakula, vipuli, huduma za kibenki na masoko ya hisa, jambo hili linasaidia kukuza uchumi wa mwananchi mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla.

#Serikali kupitia Wizara ya Madini itaendelea kutoa kipaumbele kwa wachimbaji wadogo ili wanufaike zaidi na madini yao kwa kutenga maeneo mengi zaidi na kuendelea kuweka mazingira bora ya biashara yao..

#Mchango wa Sekta kwenye Pato la Taifa (GDP) umeendelea kuongezeka kutoka 4.3 Mwaka 2015 hadi kufikia asilimia 5.2 Mwaka 2019. Lengo la Serikali ni kufikia asilimia 10 Mwaka 2025.

# Wizara ya Madini kama msimamizi mkuu wa dira hiyo tutatekeleza kwa vitendo mipango mizuri tuliyojiwekea pamoja na maelekezo yako mazuri.

# Usimamizi wa sekta umeimarishwa hasa kuzuia vitendo vya utoroshaji madini kwenda nje ya nchi pamoja na kuweka mazingira mazuri na bora kwa wafanyabiashara wote wadogo na wakubwa kwa kufungua ofisi katika kila mkoa na kuweka afisa ambaye ataangalia maslahi ya Serikali katika kila mgodi mkubwa, mgodi wa kati pamoja na mipaka yote ikiwemo Viwanja vya ndege na bandari.

Tumeendelea kusisitiza ujenzi wa viwanda vya kuyeyusha na kusafisha madini hapa nchini. Lengo ni kuhakikisha kuwa, madini yote yanachakatwa hapa nchini ili kuongeza ajira na usimamizi wa rasilimali zetu.

#Hadi ninavyoongea, tumeshatoa leseni za uyeyushaji madini (smelter) tano na usafishaji madini (refinery) nne

o   Refinery kubwa na ya kisasa inaendelea kujengwa Jijini Mwanza na Kampuni ya Mwanza Precious Metals Refinery Company Limited chini ya STAMICO. Kiwanda hiki kinatarajiwa kuanza kazi ifikapo Desemba 2020.

#Kukamilika kwa kiwanda hicho kutaiwezesha  Serikali  kupata theluthi moja ya mrabaha kwa mfumo wa madini yaliyosafishwa badala ya fedha kama ilivyozoeleka hivyo kuifanya nchi kuwa na akiba ya dhahabu katika Benki Kuu.

#Kukamilika kwa ujenzi wa ukuta kuzunguka machimbo ya tanzanite, pamoja na kuimarisha usimamizi, kuzuia utoroshaji, kuwapatia wachimbaji tathimini halisi na bei ya madini yao imepelekea upatikanaji wa madini ya Tanzanite kilogramu 20.7 yaliyo katika vipande 3 vyenye uzito mkubwa kuwahi kuripotiwa yenye thamani ya shilingi bilioni 12.6. Katika kipindi cha nyuma madini haya yangetoroshwa. 

*ALIYOYASEMA WAZIRI WA MADINI DOTO BITEKO WAKATI WA HAFLA YA UTOAJI GAWIO KWA SERIKALI OKTOBA 13, 2020*

o   Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutukutanisha hapa tukiwa na afya njema. Pia, nichukue nafasi hii kukushukuru kwa kutenga muda wako na kuja kuhudhuria katika hafla hii. Aidha, nakukupongeza wewe binafsi na Serikali yako ya Awamu ya Tano kwa kuendelea kuwa mbeba maono na kutupa miongozo na maelekezo katika usimamizi wa Sekta ya Madini. Sekta ya madini mebadilika sana na aliyeifanya sekta hii kubadilika ni wewe Rais Dkt. John Magufuli.

# Mabadiliko ya Sheria ya Madini ya Mwaka 2017 Muungano wa Tanzania lilifanya marekebisho ya Sheria ya Madini Sura ya 123 na kutunga Sheria mpya mbili: Sheria ya Mamlaka ya Nchi kuhusu Usimamizi wa Maliasili na Raslimali za nchi na Sheria ya Raslimali na Maliasili za Nchi (Mapitio ya Mikataba yenye Vifungu Kandamizi).

# Kufuatia marekebisho hayo ya sheria na usimamizi imara wa Sekta ya Madini, mafanikio mbalimbali yamepatikana. Mafanikio hayo ni pamoja na

# Kuongezeka kwa mapato ya Serikali kutoka shilingi bilioni 168 Mwaka wa Fedha 2014/15, hadi shilingi bilioni 528 kwa Mwaka wa Fedha 2019/20.

# Wizara ilifanikiwa kuvuka lengo la makusanyo la Shilingi bilioni 470 la Mwaka wa Fedha 2019/2020 zilizopangwa na Serikali na kuweza kukusanya Shilingi bilioni 528.24 sawa na asilimia 112.4. 

#Kufuatia Sheria ya Local Content, Tumeshuhudia kuwa, huduma zote zinazopatikana nchini zimeendelea kununuliwa hapahapa nchini ikiwa ni pamoja na vyakula, vipuli, huduma za kibenki na masoko ya hisa, jambo hili linasaidia kukuza uchumi wa mwananchi mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla.

#Serikali kupitia Wizara ya Madini itaendelea kutoa kipaumbele kwa wachimbaji wadogo ili wanufaike zaidi na madini yao kwa kutenga maeneo mengi zaidi na kuendelea kuweka mazingira bora ya biashara yao..

#Mchango wa Sekta kwenye Pato la Taifa (GDP) umeendelea kuongezeka kutoka 4.3 Mwaka 2015 hadi kufikia asilimia 5.2 Mwaka 2019. Lengo la Serikali ni kufikia asilimia 10 Mwaka 2025.

# Wizara ya Madini kama msimamizi mkuu wa dira hiyo tutatekeleza kwa vitendo mipango mizuri tuliyojiwekea pamoja na maelekezo yako mazuri.

# Usimamizi wa sekta umeimarishwa hasa kuzuia vitendo vya utoroshaji madini kwenda nje ya nchi pamoja na kuweka mazingira mazuri na bora kwa wafanyabiashara wote wadogo na wakubwa kwa kufungua ofisi katika kila mkoa na kuweka afisa ambaye ataangalia maslahi ya Serikali katika kila mgodi mkubwa, mgodi wa kati pamoja na mipaka yote ikiwemo Viwanja vya ndege na bandari.

Tumeendelea kusisitiza ujenzi wa viwanda vya kuyeyusha na kusafisha madini hapa nchini. Lengo ni kuhakikisha kuwa, madini yote yanachakatwa hapa nchini ili kuongeza ajira na usimamizi wa rasilimali zetu.

#Hadi ninavyoongea, tumeshatoa leseni za uyeyushaji madini (smelter) tano na usafishaji madini (refinery) nne

o   Refinery kubwa na ya kisasa inaendelea kujengwa Jijini Mwanza na Kampuni ya Mwanza Precious Metals Refinery Company Limited chini ya STAMICO. Kiwanda hiki kinatarajiwa kuanza kazi ifikapo Desemba 2020.

#Kukamilika kwa kiwanda hicho kutaiwezesha  Serikali  kupata theluthi moja ya mrabaha kwa mfumo wa madini yaliyosafishwa badala ya fedha kama ilivyozoeleka hivyo kuifanya nchi kuwa na akiba ya dhahabu katika Benki Kuu.

#Kukamilika kwa ujenzi wa ukuta kuzunguka machimbo ya tanzanite, pamoja na kuimarisha usimamizi, kuzuia utoroshaji, kuwapatia wachimbaji tathimini halisi na bei ya madini yao imepelekea upatikanaji wa madini ya Tanzanite kilogramu 20.7 yaliyo katika vipande 3 vyenye uzito mkubwa kuwahi kuripotiwa yenye thamani ya shilingi bilioni 12.6. Katika kipindi cha nyuma madini haya yangetoroshwa. 

#Kwa upande wa madini ya almasi kiasi.kikubwa cha uzalishaji kilitokea mwaka 1977 ambapo kiasi cha carat laki tatu na sabini kilizalishwa hakiwahi kutokea.tena mpaka wakati wa uongozi wako ambapo kwa sasa tunazalisha carat 427,020 hii ni hostoria kubwa sana haijawahi kutokea.

#Kabla ya ujenzi wa ukuta kuzunguka migodi ya tanzanite madini yaliyokuwa yakionekana kwenye mfumo ni asilimia 5 tu na asilimia 95 hazikujulikana zilikokuwa kiasi kikubwa cha tanzanite iliyopatikana ni kilo 312 zenye thamani ya shilingi bilioni 4.1 na baada ya

ujenzi wa ukuta baada ya mwaka mmoja tumezalisha kila 2772 yenye thamani ya shilingi bilioni 30.075

#Baada ya kusitisha usafirishaji wa makinikia, Serikali iliunda timu ya majadiliano (Government Negotiation Team -GNT) ili kujadiliana na Kampuni ya Barrick kwa lengo la kuhakikisha kuwa pande zote mbili zinanufaika na Sekta ya Madini hasa katika suala la usafirishaji wa makinikia na mikataba kandamizi.

# Serikali ilifanya Marekebisho ya Sheria ya Madini Sura ya 123 na kutunga Sheria mpya mbili: Sheria ya Mamlaka ya Nchi kuhusu Usimamizi wa Maliasili na Raslimali za nchina Sheria ya Raslimali na Maliasili za Nchi (Mapitio ya Mikataba yenye Vifungu Kandamizi).

# Baada ya majadiliano yaliyodumu kwa zaidi ya miaka miwili baina ya GNT na Kampuni ya Barrick, mafanikio mbalimbali yalipatikana ikiwa ni pamoja na Kuundwa kwa Kampuni ya pamoja baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Barrick (Twiga Minerals Corporation Limited).

# Serikali kuwa na hisa ya asilimia 16 (non-dilutable free carried interest) katika migodi ya Barrick.

#Ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami kutokea Mgodi wa Bulyanhulu hadi Mwanza, na baada ya majadiliano sasa itajengwa barabara ya kutoka Kahama kwenda Geita.

#Barrick kuchangia fedha katika Vyuo Vikuu ili kuendeleza vijana wetu kwenye fani za jiolojia, uhandisi migodi, mazingira na kada zingine zinazohusu Sekta ya Madini.

#  Barrick kuchangia fedha Serikalini ili kufanya upembuzi yakinifu utakaopelekea ujenzi wa miundombinu ya uongezaji thamani madini ndani ya nchi.

#Kampuni ya Barrick kukubali kulipa fidia ya fedha Dola za Kimarekani milioni 300 kama composite settlement ambapo hadi hivi sasa zimeshalipwa Dola za Kimarekani milioni 100.

#Muafaka wa majadiliano hayo ulihitimishwa tarehe 24 Januari 2020 kwa Kampuni ya Barrick kuweka saini baina yake na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa makubaliano yanayojulikana kama The Framework Agreement between the Government of Tanzania and Barrick.

#Kutokana na makubaliano ya Serikali na Kampuni ya Barrick yaliyofikiwa kwa kuunda Kampuni ya Twiga Minerals Limited, leo tunashuhudia kwa mara ya kwanza kampuni hiyo inatoa gawio kwa Serikali la jumla ya Dola za Marekani Milioni 40 ambazo ni sawa na takribani Shilingi za Kitanzania Bilioni mia moja (Tsh 100,000,000,000/=).

#Serikali yako  ya Awamu ya Tano iliamua kuiimarisha upya STAMICO na kuigeuza kuwa chombo madhubuti cha kusimamia maslahi ya Serikali katika Sekta ya Madini pamoja na rasilimali za madini na hivyo kuongeza manufaa kwa Taifa.

# Majukumu ya STAMICO kwa ufupi ni pamoja na kuwekeza kwenye shughuli za utafiti na uchimbaji madini, kuwekeza katika uchenjuaji, uongezaji thamani na uuzaji wa madini, kutoa huduma na ushauri wa kitaalam na kiufundi katika sekta ya madini wakiwemo wachimbaji wadogo kwenye nyanja za kijiolojia, kihandisi na kimazingira ikiwa ni pamoja na uchorongaji wa miamba.

# Ilijengeka dhana kuwa Shirika la Madini la Taifa kuwa haliwezi kufanya kazi zake kwa ufanisi bila kupewa ruzuku kutoka Serikalini lakini naomba nikuhakikishie kwamba Wizara iligoma kwenda serikalini kuomba ruzuku kwa ajili ya kuendesha Shirika la Madini.

#Kutokana na maelekezo yako kuwa Mashirika yote ya Serikali yajiendeshe na kuhakikisha yanapata faida, Wizara ya Madini ilifanya marekebisho ya Muundo wa Shirika ili kuongeza ufanisi na kupunguza gharama za uendeshaji.

# Kufuatia usimamizi wa Wizara tuliielekeza STAMICO kuwa hatukuwa na sababu kuomba mtaji serikalini ili hali wana mali (assets) nyingi kama leseni za madini ambazo wangeweza kuzigeuza kuwa mtaji.

#Nafurahi kusema kuwa STAMICO sasa haitegemei ruzuku kutoka Serikalini na inajiendesha kwa faida.

#STAMICO imeendelea kutekeleza na kusimamia miradi mbalimbali ya uchimbaji wa madini nchini kupitia miradi ambayo Shirika linamiliki kwa asilimia 100 au kwa ubia.

#Utekelezaji wa shughuli hizo unahusisha uzalishaji wa makaa ya mawe katika Mgodi wa Kabulo-Kiwira (STAMICO-100%); uzalishaji wa madini ya dhahabu katika Kampuni Tanzu ya STAMIGOLD (STAMICO-100%); uendelezaji wa miradi ya uchimbaji wa dhahabu wa Buhemba (STAMICO-100%).Shirika la STAMICO pia ni mbia katika mradi mkubwa wa ujenzi wa Kiwanda cha usafishaji madini ya dhahabu (Gold Refinery) kilichopo Pasiasi, jijini Mwanza. Kiwanda hiki kinatarajia kuanza ifikapo Desemba, 2020.

#Serikali ya Awamu ya Tano imeimarisha Shirika la Madini kiutendaji na vifaa. Hivi karibuni shirika hilo limenunua Mitambo  (3) ya uchorongaji ambayo italiwezesha shirika kukua kiuchumi pia kuendelea kuwasaidia wachimbaji wadogo.

# Mwaka 2019, Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) lilitoa gawio la shilingi bilioni moja.  Leo kwa namna ya pekee nafarijika kukufahamisha kuwa shirika litatoa gawio la shilingi bilioni moja na milioni mia moja (1,100,000,000) ambayo utakabidhiwa kwa ruhusa yako katika hafla hii.

#  Wizara itaendelea kuisimamia STAMICO na kuhakikisha kuwa linakuwa shirika la madini la kimataifa.

Comments