Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Felix Tshisekedi akisoma moja ya kitabu cha Lughaya Kiswahili
katika Mkutano wa Ndani wa Wakuu wa Nchi
na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC Ikulu jijini Dar es Salaam.
Kitabu hicho alikabidhiwa na Mwenyekiti wa SADC Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
MheshimiwaDkt. John Pombe Magufuli kabla ya mkutano huo. PICHA NA IKULU
|
Comments
Post a Comment