President JPM ampa shavu Mstaafu Mkapa kwa mara ya pili mfululizo
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu inasema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli amemteua Mstaafu Benjamini Mkapa kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
Comments
Post a Comment