PILI 2018 NA MATOKEO YA DARASA LA NNE 2018


Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa ya Kidato cha Pili (FTNA) 2018 Na Darasa la nne (SFNA) 2018 yametangazwa..Yaangalie hapa 

Au >>HAPA<< 

Watumiaji wengi wa simu za mkononi hata wale wanaotumia computer/laptop wamejikuta wakishindwa kuona matokeo kutokana na jinsi yalivyopangiliwa.



Kama unatumia simu
1.Fungua link ya matokeo 

2.Angalia juu kulia kwenye simu yako,utaona vidoti vitatu 

3.Bonyeza penye vidoti utaona sehemu imeandikwa Find in page

4.Bonyeza palipoandikwa Find in page utaona  sehemu ya kuandikia...kisha andika jina la Shule unayotaka...kiulaini kabisa utaona unachokitaka.

 Kama unatumia Computer/Laptop

1.Fungua link ya matokeo 

2. Shikilia palipoandikwa CTRL na F

3.Utaona kibox ambapo utaandika jina la shule

Comments