
Wakazi
katika jiji la kusini-mashariki mwa nchi ya China mwishoni mwa juma
lililopita walifanikiwa kumpata mshindi wa shindano la aina yake la kula
pilipili.
Mwanadada,
Yi Huan aliibuka kidedea kwenye mashindano hayo na kuvishwa taji la
‘Chilli Queen’ baada ya kula pilipili 20 chini ya dakika moja.

Shindano
hilo lililofanyika siku ya Jumapili katika jimbo la Jiangxi,
limeshuhudiwa washiriki wengi wakiwemo wanaume kushindwa kufuadafu mbele
ya Yi Huan.

Picha nyingine zinazowaonyesha washiriki hao wakishindana kula pilipili.
Comments
Post a Comment