
Waziri wa
Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu)
Mhe. Jenista Mhagama akisalimiana na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama
vya Watu Wenye Ulemavu Bi. Ummy Nderinanga wakati wa mkutano wao na
Waziri huyo ili kujadili utekelezaji wa majukumu uliofanyika Ukumbi wa
mikutano wa ofisi hiyo Bungeni Dodoma.
Waziri wa
Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu)
Mhe. Jenista Mhagama akizungumza jambo wakati wa mkutano wake na
Viongozi wa SHIVYAWATA kujadili utekelezaji wa majukumu yao katika
Ukumbi wa Ofisi yake Bungeni Dodoma Aprili 27, 2017.
Wajumbe
wa mkutano wa uongozi wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu
nchini wakifuatilia maelekezo kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama
wakati wa kikao chao Mjini Dodoma tarehe 27 Aprili, 2017.
Waziri wa
Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu)
Mhe. Jenista Mhagama akiendesha mkutano na Viongozi wa Shirikisho la
Vyama vya Watu Wenye Ulemavu walipokutana ofisini kwake Dodoma kujadili
utekelezaji wa Majukumu yanayowahusu.
Waziri wa
Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu)
Mhe. Jenista Mhagama (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na
Viongozi wa SHIVYAWATA mara baada ya kumaliza mkutano wao, kushoto
kwake ni Naibu wake (Kazi, Ajira na Vijana), Mhe. Antony Mavunde.
(PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU - DODOMA)
Comments
Post a Comment