Rais
Mstaafu wa awamu ya nne, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma
Kikwete wakitoa heshima za mwisho kwa Mwili wa Marehemu Sir George
Kaham, katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu J.K. Nyerere,
Jijini Dar es salaam leo.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamini Mkapa akiwafariji watoto wa
Marehemu Sir George Kahama katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar
es Salaam.
Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi akitoa heshima
za mwisho kwa Mwili wa Marehemu Sir George Kaham, katika Ukumbi wa
Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu J.K. Nyerere, Jijini Dar es salaam leo.
Mjane wa Marehemu Sir Georeg Kahma, Mama Janeth Kahama akitoa heshima
za mwisho kwa Mwili wa mumewe, katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa
Mwalimu J.K. Nyerere, Jijini Dar es salaam leo.
Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye akiaga Mwili wa Marehemu Sir George Kahama.
Waziri mkuu Mstaafu, Dk. Salim Ahmed Salim akiaga mwili wa Marehemu Sir
George Kahama katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam
Spika Mstaafu wa Bunge , Anna Makinda akitoa pole kwa wanafamilia ya Marehemu Sir George Kahama.
Kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni , Freeman Mbowe akiaga mwili wa
Marehemu Sir George Kahama katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar
es Salaam
Mtoto wa Marehemu Sir George Kahama, akiaga mwili wa baba yake
Sehemu ya ndugu wa familia wakiaga mwili wa Marehemu Sir George Kahama
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowasa akitoa pole kwa watoto Marehemu Sir
George Kahamakatika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam
Mawaziri wakuu wa Staafu pamoja na wake zao wakiwa katika msiba huo kwa uhuzuni
Marais Wastaafu na wake zao wakiwa wanatafakari kabla ya kuaga mwili wa Marehemu Sir George Kahama.
Mawaziri
wakuu wastaafu wakitafakari jambo kabla ya kuaga Mwili wa Marehemu Sir
George Kahama katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam
Comments
Post a Comment