Naibu
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni
akiongozana na Mkuu wa Jeshi la Magereza jijini Mbeya Kamishna Msaidizi
Paul Kajida (kulia) wakati alipowasili kukagua shughuli za uzalishaji
thamani za ndani na sabuni katika gereza la Ruanda .Naibu Waziri yupo
jijini Mbeya kwa ziara ya kikazi.( Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi)
Mkuu wa
Kiwanda cha Gereza la Ruanda ASP Michael Kuga, akisoma taarifa ya hali
ya uzalishaji wa sabuni na thamani za ndani mbele ya Naibu Waziri wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni wakati wa ziara
ya kikazi ya ukaguzi wa shughuli za maendeleo zinazofanyika katika
magereza yaliyopo jijini Mbeya.
Naibu
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad
Masauni(wapili kushoto) akipata maelezo juu ya utengenezwaji wa kiti
kinachotengenezwa na wafungwa wa gereza la Ruanda wakishirikiana na
wataalamu wa Jeshi la Magereza.Naibu Waziri yupo jijini Mbeya kwa ziara
ya kikazi.
Naibu
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni
(wakwanza kulia waliokaa), akiangalia picha za thamani za ndani
zinazotengenezwa na wafungwa wa Gereza la Ruanda wakishirikiana na
wataalamu wa Jeshi la Magereza.Wengine waliokaa baada ya Naibu Waziri ni
Mkuu wa Kiwanda hicho,ASP Michael Kuga ,Kamanda wa Jeshi la Zimamoto
Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Jesuald Ikonko na Kaimu Kamanda wa
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya Emmanuel Lukula.Naibu Waziri yupo jijini
Mbeya kwa ziara ya kikazi.
Naibu
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni,
akizungumza alipotembelea Kiwanda cha sabuni zinazotengenezwa na
wafungwa wa gereza la Ruanda wakishirikiana na wataalamu wa Jeshi la
Magereza.Wanaomsikiliza ni Mkuu wa Kiwanda() na Mkuu wa Jeshi la
Magereza Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Paul Kajida.
Naibu
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni
(katikati) akiangalia moja ya sabuni zinazozalishwa na wafungwa wa
Gereza la Luanda wakishirikiana na wataalamu wa Jeshi la Magereza.Kulia
ni Mkuu wa Kiwanda hicho().Naibu Waziri yupo jijini Mbeya kwa ziara ya
kikazi.
Comments
Post a Comment