BREAKIN NEWZZ!!:- MSIBA MWNGINE MZITO WA TAIFA HUU HAPA WAZIRI WA ZAMANI AFARIKI DUNIA MUDA MCHACHE ULIOPITA GHAFLA!!
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Aliyewahi kuwa Waziri mwandamizi katika wizara mbalimbali, ikiwemo Wizara ya
Elimu,
Ndg.Joseph Mungai, amefariki dunia jioni ya leo, katika hospitali ya
taifa ya Muhimbili alipokua akipatiwa matibabu. Mungu ampumzishe kwa
amani.!
Comments
Post a Comment