MBUNGE DOTO AFANYA ZIARA JIMBONI KUJIONEA SHUGHULI MBALIMBALI


 Mhe. Doto Mashaka Biteko(Mb) akiwa katika Balaza la Madiwani Halmashauri ya Bukombe na kuwataka Madiwani wote kufanya kazi kwa kujitolea ili kuleta maendeleo kwa kasi katika Halmashauri na Taifa kwa ujumla.



 Mhe. Doto Biteko(Mb) akishauliana na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bukombe Mhe. Safari Nikas Mayala wakati wa Balaza hilo.


 Baadhi ya wajumbe katika Balaza hilo







Mhe Doto akifanya mazungumzo na baadhi ya walemavu alipotembelea kijiji cha Msonga kata ya Runzewe Mashariki




 Mbunge Doto akitoa msaada kwa mlemavu

Picha ya Mbunge wa Jimbo la Bukombe Doto Mashaka Biteko(mwenye tisheti ya mistali) na Diwani wa Kata ya Katente Mhe. Bahati Kayagila(mwenyeushungi) akiwa na Mwenyekiti wa Soko la Kilimahewa Bwana Ishengoma Kiji(wa mbele) wakielekea kwenye eneo waliloliandaa kwa ajili ya ujenzi wa choo katika soko la Kilimahewa



Mbunge Doto na uongozi wa Soko la Kilimahewa wakitazama shimo la choo

Mhe. Doto Mashaka Biteko (Mb) akizungumza na wafanyabiashara wa Soko la Kilimahewa alisema sasa kampeni zimeisha  tufanye kazi bila kujali itikadi zetu ili tuweze kupata maendeleo, na kuwa yeye kama Mbunge hajawahi kugomesha maendeleo na hategemei kabisa suala hilo na kuwataka wananchi wa Bukombe kuwa makini na maneno yoyote yanayogomesha maendeleo.
Na mwisho aliwaahidi kuwachangia kiasi cha shilingi milioni moja na laki saba kati milioni mbili alizosema mwenyekiti wa soko hilo ili kukamilisha ujenzi wa choo hicho

Wafanyabiashara wa soko la kilimahewa wakimsikiliza Mbunge wao alipowatembelea sokoni hapo

Comments

Post a Comment