Makipa Vinara wa Clean sheets NBC Premier League 2022/2023

Vinara wa CleanSheets NBC Premier League 2022/2023, Makipa Wanaoongoza kwa Clean sheets Ligi Kuu ya NBC, Wanaoongoza kwa Clean sheets Ligi Kuu Tanzania Bara, Makipa Bora Ligi Kuu ya NBC, Makipa Bora Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League 2022/2023, NBC Premier League, Ligi Kuu ya NBC, NBC PL Updates, NBC PL.


Manula ndiye Golikipa nambari 1 wa timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars) ambapo amekuwa na kiwango kizuri sana takribani miaka yote ya uchezaji wake toka akiwa Azam na sasa akiwa Simba

mpaka sasa ambapo amefikisha Clean Sheets 10 akifungana na Golikipa wa Young Africans SC Djigui Diarra mwenye Clean sheets 10 pia.



Pia golikipa huyo amechukua tuzo nyingi za golikipa bora mara kwa mara hapa Tanzania baada ya kuwa na mfululizo wa ubora, japokuwa msimu uliopita alipitwa na mlinda mlango wa Yanga Djigui Diara.


Hii hapa listi ya Magolikipa wanaoongoza kwa kucheza mechi nyingi bila kuruhusu goli langoni mwao (clean sheets) hadi kufikia January 12, 2023.


1:Aishi Manula – Simba SC = 10.

2:Djigui Diarra – Yanga SC = 10

3:Ali Ahmada – Azam FC = 7.

4:Said Kipao – Kagera Sugar FC = 6.

5:Metacha Mnata – Singida Big Stars = 6.

6:Mohmoud Mroivili – Coastal Union = 5.

7:David Kissu – KMC FC = 5.

8:Jonathan Nahimana – Namungo FC = 5

9: Hussein Abell – Tanzania Prisons = 4.

10:Aaron Kalambo – Dodoma Jiji FC = 4


Wanaoongoza kwa Clean sheets NBC Premier League 2022/2023, Aishi Manula, Djigui Diarra, Makipa Bora Ligi Kuu ya NBC, Ligi Kuu 2022/2023, vinara Clean sheets NBC, NBC Premier League Makipa Bora, Rekodi za Makipa Bora 2022/2023, Cleansheet Tanzania Premier League 2022/2023, Makipa Vinara wa uokoaji NBC Premier League 2022/2023.


Magolikipa wenye Clean Sheets nyingi NBC Premier League 2022/2023, Makipa wenye Clean Sheets nyingi NBC Premier League 202/2023, Aishi Manula Simba SC, Djigui Diarra Yanga SC.

Comments