Mbunge wa Jimbo la Bukombe mkoani Geita, Dkt. Doto Biteko, amekutana na madiwani wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo yanayolenga kuendelea kuwaletea wananchi huduma bora na ustawi wa jimbo hilo.
Madiwani wakimsikiriza Mbunge Dkt. Doto BitekoMadiwani wakimsikiriza Mbunge kwa umakini.
Madiwani halmashauri ya Wilaya ya Bukombe wakimsikiriza na kufatiria mazungumzo ya Dkt. Biteko. Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya ya Bukombe Erck Kagoma akitoa neno la shukrani kwa Mbubge wa Jimbo la Bukombe Dkt. Biteko.







Comments
Post a Comment