DKT. BITEKO AKUTANA NA DKT. NCHEMBA KUJADILI MASUALA YA MAENDELEO


Na, Ernest Magashi

Mbunge wa Jimbo la Bukombe mkoani Geita Dkt. Doto Biteko, amekutana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu L. Nchemba, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali yenye lengo la kuimarisha maendeleo ya Taifa.Mazungumzo hayo yanaakisi dhamira ya Serikali ya kuendelea kushirikiana kwa karibu katika kuhakikisha sera na mipango ya maendeleo inatekelezwa kwa ufanisi kwa manufaa ya wananchi na Taifa kwa ujumla.

Comments