MGENI RASMI AMBAYE NI WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA TAYARI AMEWASILI ENEO LA TUKIO KWAAJILI YA MAADHIMISHO YA SIKU YA MWALIMU BUKOMBE
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa tayari amewasili kwenye viwanja vya shule yaa sekondari Ushirombo kusherehekea siku ya Mwalimu- Bukombe.
Mhe. Kassim Majaliwa ambaye ni mgeni rasmi katika siku ya mwalimu - Bukombe amewasili katika viwanja hivi akiambatana na mgombea Ubunge jimbo la Bukombe Dkt. Dotto Biteko.
Huu unakuwa msimu wa sita wa Maadhimisho ya siku ya mwalimu - Bukombe tangu yalipoanzishwa rasmi.
#Bukombe
#kusemanakutenda
#SikuyaMwalimuDuniani
#sikuyamwalimubukombe2025
#Bukombe
#SikuYaMwalimuDuniani
#KusemaNaKutenda
#SikuYaMwalimuBukombe2025
Comments
Post a Comment