MASHINDANO PAMOJA NA MICHEZO MBALIMBALI NA KWAYA YAMEFANYIKA LIVE KUTOKA VIWANJA VYA SEKONDARI YA USHIROMBO ASUBUHI HII

Mashindano ya michezo mbalimbali pamoja na kwaya yamefanyika live kutoka viwanja vya Sekondari ya Ushirombo asubuhi hii.


Washiriki wa mashindano haya ni waalimu wenyewe ikiwa ni sehemu ya kusherehekea siku yao inayoadhimishwa katika Wilaya ya Bukombe siku ya leo huku Mgeni rasmi akiwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa.


#Bukombe

#kusemanakutenda

#SikuyaMwalimuDuniani

#sikuyamwalimubukombe2025










Comments