ZIMEBAKI SIKU NNE WALIMU BUKOMBE KUSHEREKEA SIKU YAO

 


Zimebaki siku 4️⃣


Wilaya ya Bukombe ipo tayari kusherehekea Mwalimu. Swali ni je, wewe upo tayari?


Tukutane Oktoba 3 kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari Ushirombo kuanzia saa 2 kamili asubuhi ambapo Mgeni wetu Rasmi atakuwa ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa.


_Walimu wetu, Fahari yetu_


#sikuyamwalimubukombe2025

#kusemanakutenda

Comments