Mwalimu wa Bukombe yupo tayari kusherehekewa. Swali ni je, wewe upo tayari kumsherehekea?
Tukutane Oktoba 3 kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari Ushirombo kuanzia saa 2 kamili asubuhi ambapo Mgeni wetu Rasmi atakuwa ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa.
_Walimu wetu, Fahari yetu_
#sikuyamwalimubukombe2025
#kusemanakutenda

Comments
Post a Comment