SIKU YA MWALIMU BUKOMBE ITANOGESHWA NA LAST BORN WA TAIFA, DOGO PATEN. UNAANZAJE KUKOSA?

 



Tukutane Oktoba 3 kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari Ushirombo kuanzia saa 2 kamili asubuhi ambapo Mgeni wetu Rasmi atakuwa ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa.


_Walimu wetu, Fahari yetu_


#sikuyamwalimubukombe2025

#kusemanakutenda

Comments