Na, Ernest Magashi
Mgombea ubunge wa Jimbo la Bukombe Mkoani Geita Dkt Doto Mashaka Biteko akisalimiana na mgombea mwenza wa Urais kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt Emanuel Nchimbi leo Septembe 6,2025.kabla ya mkutano uliyofanyika Katika kata ya Katoro Mkoani Geita. 
Comments
Post a Comment