DKT. BITEKO AHANI MSIBA WA MZEE NGELEJA


Na, Ernest Magashi

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ahani msiba wa Baba Mzazi wa William Ngeleja, Mzee Mganga Ngeleja aliyefariki Julai, 16, 2025 na kuzikwa jana (Julai 21, 2025) Kijijini kwake Bitoto, Wilaya ya Sengerema, mkoani Mwanza. 



Comments