Na, Ernest Magashi
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Mashaka Biteko aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Bukombe amechukua fomu tena ya kuomba ridhaa ya kutetea kitichake cha Ubunge Jimbo la Bukombe.Dkt. Biteko amechukua fomu hiyo nakuijaza na kuirejesha kwa Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Bukombe, Ndugu. Leonard Yesaya Mwakalukwa mapema leo Juni 29, 2025.
Zoezi la uchukuaji fomu katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) linaendelea nchi nzima ambapo watia nia tofauti wanaendelea kujitokeza kwa ajili ya kuchukua fomu za Ubunge na Udiwani.
Comments
Post a Comment