WAZIRI MKUU NA NAIBU WAZIRI MKUU WAKITETA JAMBO SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI

 

Na, Ernest Magashi

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu, Mhe, Doto Biteko wakiwa kwemye uwanja wa Bombadia Singida, kuungana na wafanyakazi kwa kuadhimisha siku ya wafanyakazi duniani inayofanyika mkoani Singida. 
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Bombadia Mkoani Singida katika kuugana na wafanyakazi na kutoa hotuba.

Comments