DK. BITEKO ASHIRIKI KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM TAIFA


Na, Ernest Magashi

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameshiriki kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri ya CCM Taifa kilichoketi Jijini Dodoma. 
Kikao hicho kiliongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan  Mei 26, 2025.


Comments