DKT. BITEKO AKIFUATILIA WABUNGE WANAVYO CHAGIA BAJETI YA NISHATI

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akifuatilia michango ya Wabunge kuhusu Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka 2025/26. Aprili 29, 2025 bungeni jijini Dodoma. 

Comments