DKT. BITEKO AKAZIA BAJETI YA WIZARA YA NISHATI KWA MWAKA 2025/2026

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Aprili 29, 2025 akihitimisha na kukazia Hotuba yake ya Bajeti ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake kwa mwaka 2025/2026 Bungeni jijini Dodoma.

Comments