Na, Ernest Magashi
Waumini wa kanisa la Ufunuo wametakiwa kuwa mfano kwenye jamii kwa kutenda matendo mema ya kumpendeza Mungu wakiwemo vijana kuacha kuinga tamaduni za kigeni zinazo wapotosha na kukeuka maadiri ya kitanzania.
Wito huo umetolewa na Askofu wa kanisa la Ufunuo Jimbo la Simiyu Paschal Bendera wakati wa ibada ya Pasaka sambamba na kuombea Serikali.
Askofu Paschal aliwaomba waumini kuwapa misukumo mikubwa watoto wao kuhuzuria kwenye nyumba za ibada kusikiliza mafudisho kanisani ili wakuwe wakimjua Mungu na kuishi katika utakatifu.
"Bazi ya Vijana wamepoteza madili kwenye jamii na kuzarau wazazi wao kutokana na kuinga utamaduni wa kigeni baziyao kujiingiza kwenye makudi mabaya na kutumia madawa ya kulevya huku mabinti wakijipiga picha za uchi na kutupia kwenye mitandano ya kijamii bila kujua picha hizo hazina madiri ya kitanzania naombeni wazazi na walezi fundisheni watoto wenu", alisema Askofu Paschal.
katika ibada hiyo alisisitiza vijana kuacha mihemuko za kisiasa kutumiwa na wana siasa kuadamana hali ambayo vijana wengi wanatumiwa na kuachwa masikini na wengine kuaburia ulemavu wakati Serikali inapo tumia nguvu yake kuzibiti maadamano.
Askofu Paschal alisema Serikali ikomacho kuzibiti vitendo viovu ya kiwemo matumizi ya madawa ya kulevya na katika uchaguzi Mkuu mwaka huu Serikali imesha tamuka uchaguzi utakuwa wa amani hivyo vijana na watu ote wasubiri kuchagua viongozi Bora kwenye kata na majimbo na Rais tayari yupo anaendelea kuchapa kazi.
"Nawaombeni wazazi na walezi kulea watoto wenu kwa madiri ya ki Mungu na kuacha tabia ya watoto kufanya wanavyo taka kwa madai Mambo ya utandawazi hali ambayo inawafanya vijana kupoteza madiri ya kitanzania na utamaduni wa kiafirika na kujiingiza kwenye tabia zisizo mpendeza Mungu", alisema Askofu Paschal Bendera.
Kupitia mafundisho ya ibada ya Pasaka ya kumbukumbu ya mateso ya Yesu Kristo miaka zaidi ya 2000 iliyopita aliwaomba waumini kusamehe watu waliyo wakosea na Yesu Kristo afufuke ndani yamiyo yao na katika mafanikio yao yaliyo kuwa yamekufa mafanikio yafufuke ili wakuwe kiuchumi.
Kijana wa kanisa la Ufunuo Bariadi Silivesta Elias alisema huwa anachukia sana anapo ona mabiti wamejiposti picha za uchi na vijana wengine kuvuta bagi na shukru mafundisho ya leo.
Schola Ruben alisema leo amepata mafundisho mazuri na kwamba atahakikisha familia yake anaendelea kulea familia kwa madiri mazuri tena ya ki Mungu.

Aliwaomba wazazi na walezi kuwalea watoto wao kwa kuzingatia maadiri ya kitanzania na kuacha kuinga tamaduni za kigeni na kujiona nifahari huku wa kimukosea jamii na Mungu na Serikali hasa wale wanaotumia madawa ya kulevya.
Askofu Paschal aliwaomba waumini kuwapa misukumo mikubwa watoto wao kuhuzuria kwenye nyumba za ibada kusikiliza mafudisho kanisani ili wakuwe wakimjua Mungu na kuishi katika utakatifu.
"Bazi ya Vijana wamepoteza madili kwenye jamii na kuzarau wazazi wao kutokana na kuinga utamaduni wa kigeni baziyao kujiingiza kwenye makudi mabaya na kutumia madawa ya kulevya huku mabinti wakijipiga picha za uchi na kutupia kwenye mitandano ya kijamii bila kujua picha hizo hazina madiri ya kitanzania naombeni wazazi na walezi fundisheni watoto wenu", alisema Askofu Paschal.
katika ibada hiyo alisisitiza vijana kuacha mihemuko za kisiasa kutumiwa na wana siasa kuadamana hali ambayo vijana wengi wanatumiwa na kuachwa masikini na wengine kuaburia ulemavu wakati Serikali inapo tumia nguvu yake kuzibiti maadamano.
Askofu Paschal alisema Serikali ikomacho kuzibiti vitendo viovu ya kiwemo matumizi ya madawa ya kulevya na katika uchaguzi Mkuu mwaka huu Serikali imesha tamuka uchaguzi utakuwa wa amani hivyo vijana na watu ote wasubiri kuchagua viongozi Bora kwenye kata na majimbo na Rais tayari yupo anaendelea kuchapa kazi.
"Nawaombeni wazazi na walezi kulea watoto wenu kwa madiri ya ki Mungu na kuacha tabia ya watoto kufanya wanavyo taka kwa madai Mambo ya utandawazi hali ambayo inawafanya vijana kupoteza madiri ya kitanzania na utamaduni wa kiafirika na kujiingiza kwenye tabia zisizo mpendeza Mungu", alisema Askofu Paschal Bendera.
Kupitia mafundisho ya ibada ya Pasaka ya kumbukumbu ya mateso ya Yesu Kristo miaka zaidi ya 2000 iliyopita aliwaomba waumini kusamehe watu waliyo wakosea na Yesu Kristo afufuke ndani yamiyo yao na katika mafanikio yao yaliyo kuwa yamekufa mafanikio yafufuke ili wakuwe kiuchumi.
Kijana wa kanisa la Ufunuo Bariadi Silivesta Elias alisema huwa anachukia sana anapo ona mabiti wamejiposti picha za uchi na vijana wengine kuvuta bagi na shukru mafundisho ya leo.
Schola Ruben alisema leo amepata mafundisho mazuri na kwamba atahakikisha familia yake anaendelea kulea familia kwa madiri mazuri tena ya ki Mungu.
Schola alimpongeza Askofu Paschal kwa mafundisho hayo ambayo ameluwa akiyafundisha na kuwakumbusha vijana wafanye kazi za kiuchumi hivyo niwaombe wazazi wenzagu tuendele kulea watoto na Serikali kupitia mashuleni isimamia misingi ya ki madiri.
Ibada hiyo ya Askofu Pasaka licha ya mafundisho ya madiri aliongoza maombi ya kuliombea Taifa na viongozi wake na Uchaguzi Mkuu utakao fanyika Oktoba 2025 ukawe wa amani.

Comments
Post a Comment