Wauguzi na madaktari wa hospitali ya Wilaya ya Bukombe Mkoa wa Geita wamepongezwa kwa kazi nzuri wanayoifanya kwa kuwajali na kutibu wagonjwa.
Pongezi hizo zilitolewa na Askofu wa kanisa la Ufunuo jimbo la Geita Nabii, Rosemary Mashauri kwenye hospitali ya Wilaya ya Bukombe wakati akizungumza na mganga mkuu Mfawidhi wa hispitali na kaimu muuguzi mkuu wa hispitali hiyo.
Askifu Rosemary aliambatana na wanawake wa kanisa hilo kufanya usafi na kutoa zawadi na mkono wa pole kwa wagonjwa hospitali ya Wilaya kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani, yenye kaurimbiu "Wanawake na Wasichana 2025:Tuimarishe Haki na Uwezeshaji''.
Kiongozi huyo wa jimbo akiongzoza wanawake ambao ni waumini wa kanisa hilo walifanya usafi wa mazingira ya hospitali ya Wilaya ya Bukombe na kutoa zawadi kwa wanawake ambao walijifungua usiku wa kuamkia Mach 6, 2025 sambamba na kutembelea Odi za wagonjwa na watoto njiti kwa kutoa mkono wa pole kwa kugawa sabuni za mche, na sabuni za unga.
Wanawake wa kutembelea Odi ya wazazi, Watoto, Wanawake, na Wanaume na VIP na Odi ya watoto Njiti na kufanya maombi maalumu kwa wagonjwa.
Askofu Rosemary akiwa hospitalini hapo aliwapongeza wauguzi na madaktari kwa huduma nzuri wanayoitoa kwa wagonjwa wakiwemo kina mama wajawazito haliambayo nifaraja kwa wagonjwa na wanajisikia kupona hata kabla ya kuanza kupatiwa matibabu.
"Wauguzi na madaktari wote wahospitali ya Wilaya yetu hongereni sana hakika munafanya kazi ya wito wa kiMungu nimeona munavyo wajali wagonjwa mko vizuri Mungu awabariki na sisi wanawake tunajivunia kuwa nanyinyi hakika munachapa kazi vizuri",alisema Askofu Rosemary.
Askofu Rosemary akitoa salamu za wanawake kanisa la Ufunuo jimbo la Geita walipo pokelewa ofisi ya mkuu wa Wilaya ya Bukombe kwa lengo la Kumpongeza mkuu wa wilaya kwa kazi nzuri anazozifanya kwa kusimamia maendeleo.
Pia alimpongeza mbunge wa jimbo la Bukombe Dkt. Doto Biteko kwa kazi nzuri ya kuhamasisha maendeleo wakati ote anapokuja jimboni na kuwaunganisha wananchi kwa kufanya kazi kwa kushirikiana na Serikali.
Askofu Rosemary alimpongeza mama shupavu wa Tanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuijenga nchi na kuweka miradi mikubwa ya kimkakati kwa kuboresha sekta, ya Elimu, Afya, Maji, Nishati Safi na uboreshaji wa miundombinu za barabara.
Akifundisha kanisani mjini Ushirombo Askofu Rosemary aliwaomba wanawake kuwati wanaume kuanzia ngazi ya familia na kwamba hakuna mafanikio ya mwanamke bila mwanaume.
Alisema mafanikio yake ya kuwa askofu ya meto kana na misingi na mafundisho ya viongozi wa juu wanaume Askofu Heyyabwana Majebele Mama Askofu Dolicas Bendera na Askofu Mkuu wa kanisa la Ufunuo Tanzania Nabii, Dkt Paul Bendera aliye nisimika kwenye nafasi hivyo natambua uwepo wao.
Mama wa mtoto Njiti ambae alikutwa hospitalini hapo Winifreda Athanas akiwashukuru kina mama wa kanisa la Ufunuo kwa kuwa na kiongozi mbunifu na kuwaletea zawadi ya Mafuta, sabuni ya unga naya mche alisema upande wangu nimefurahi sana nilikuwa sina mahitaji hayo.
Winifreda aliwapongeza wauguzi na madaktari wanavyo wa hudumia vizuri na kwamba Serikali inajitaidi kuboresha huduma za afya.
Mashaka Charles baba wa mtoto ambae alizaliwa bila kulia baada ya kupokea zawadi toka kwa wanawake wa kanisa la Ufunuo aliwashukuru kwa mkono wa pole na kuwapobgeza wauguzi na madaktari kwa ushirikiano wao kwa kupambania uhai wa mwanae hadi sasa anaedeleoa vizuri.
Diwani viti maalumu Rahel Sololo akipokea mkono wa pole wa Askofu wa kanisa la Ufunuo jimbo la Geita odini hapo wakati akiunguza mwanae ambae alifikishwa hospitali akiwa na changamoto ya kupungukiwa na damu tangu Mach 3,2025.
Rahel aliwapongeza wauguzi na madaktari wanapambana wanafanya kazi kwa kujituma.
"kwa kweli hali ya mgonjwa wangu inaendelea vizuri tunasubiri kuruhusiwa wanajali wanajituma kupitia na fasi hii namshukru Rais Samia kwa kazi nzuri inayo fanya pamoja na Mbunge Dkt. Biteko huduma za afya nizuri", alisema Diwani Sololo.
Mganga Mfawidhi wa hospitali ya Wilaya ya Bukombe Dkt. Yohana Fumbuka akipokea pongezi za Askofu Rosemary kwaniamba ya wauguzi na madaktari na kuongeza kuwa niwanawake wachache wakutoka kanisani kuja kuwaona wagonjwa na kunabaazi yao wanauhitaji sana wa vitu na faraja toka kwa watumishi wa Mungu.
"Nimushukuru Mungu Askofu kanisa la Ufunuo jimbo la Geita Rosemary kukupa maono haya kuja kuwaona wanawake waliojifungua na wagonjwa wengine hospitali nijambo jema ambalo linapaswa kuigwa na wanawake wengine "tunapoona munakuja kutembelea wagonjwa na kuwapa chochote kwa kweli sisi madakitari na wauguzi Munatupa moyo wa faraja sana pia mmefanya usafi wa mazingira kwa kufagia na kutoa zawadi kwa kina mama Mungu atawalipa Muendele na Moyo wa hivo", alisema Dkt. Fumbuka.
Akizungumza kwaniamba ya Mkuu wa Wilaya ya Bukombe afisa tarafa ya Bukombe Werema Rwabuhanga alimpobgeza Askofu wa kanisa la Ufunuo jimbo la Geita Rosemary kwa kuambatana na wanawake wezake kufanya usafi na kutoa zawadi kwa waginjwa.
Werema alimuomba Askofu Rosemary na wanawake wa kanisa hilo kuendelea kutembelea wagonjwa na kuwaombea na kwamba pongezi za Mkuu wa Wilaya, na Mbunge wa jimbo la Bukombe, na Rais Samia kwa kazi nzuri wanazozifanya atazifiki kwa Mkuu wa Wilaya.

Comments
Post a Comment