- Get link
- X
- Other Apps
Na, Ernest Magashi
Wanafunzi saba walio fariki dunia kwa kupigwa na radi wakiwa darasani mda wa masomo kuangwa na kuzikwa Alhamis ya Januari 30,2025 katika viwanja vya shule ya sekondari Businda.
Hayo yameelezwa na Mkuu wa Wilaya ya Bukombe mkoani Geita Mhadis Paskas Mlagili wakati akijata majina ya wanafunzi waliofariki dunia kwa radi Januari 27,2025 majira ya saa 8:30 mchana shuleni hapo ilipo nyesha mvua iliyokuwa imeabatana na radi kari.
Akiwa ofisini kwake mkuu wa Wilaya mhadisi Mlagili aliwataja majina wanafunzi waliofariki dunia Erick Martin Bugalama (18) Erick Emmanuel Ankonai (18) Nicas Paul Tompoli (17) Peter Nkinga Manyanda (18) Gabriel Daud Makoye (17) Esteria Leonard Making (16) Doto Mariko Masasi (17) sita walikufa palepale namwingine hospitali.
Mhadisi Mlagili aliwaomba wananchi kuendelea kuwa nautulivu na kujitokeza kwa wingi katika viwanja vya shule ya Businda kuwaaga ndugu zetu.
"Najua tukio hili kila mwana Bukombe limemugusa kwa namuna alivyo lipokea inauma sana sana kuodokewa na watoto tena wakiwa masomoni ila Mungu awatunze na wazazi na walezi na walimi, wananchi, Mungu awenasi katika faraja kwa kipindi hiki cha kuodokewa na wanafunzi wapendwa wetu", alisema Mlagili.
Mlagili alisema tukio hilo licha ya kuua lilijeruhi wanafunzi 82 na halo zao zinaendelea vizuri.
Daud Makoye miongoni mwa wazazi waliopoteza watoto wao kwenye tukio hilo ambae nimtumishi wa halmashauri ya wilaya ya Mbogwe alisema alipokea taarifa hizo kwa mshituko na pamka sasa familia inasimazi kuachwa na mpendwa wetu.
Mkazi wa Ushirombo Magidarena Thomas alisema tukio hilo nikubwa na kwamba wamelipokea kwa mshituko mkubwa na siku ya kuaga hao wanafunzi nitaenda.

Mkuu wa Mkoa wa Geita Martin Shigela leo amefika hospitali na kuona na kuwapa pole wanafunzi waliojeruhiwa na radi na kutoa pole kwa wazazi na walezi na wanachi walioguswa na msiba na kwamba mazishi yataghalimiwa na Serikali na matibabu.
- Get link
- X
- Other Apps
Comments
Post a Comment