Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Disemba 02, 2024 akisaini Kitabu cha Maombolezo kwenye msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kanda ya Afrika, Marehemu Dkt. Faustine Ndugulile.Dkt. Ndugulile alifariki dunia usiku wa kuamkia Novemba 27, 2024 nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu.
Comments
Post a Comment