picha ni, Nicodemas Maganga, Mbunge wa jimbo la Mbongwe wakatia akiwa amesima kwenye baraza la madiwani huku mwenyekiti wa Halmashauri hiyo akimtaka atoke nje
Na,Ernest Magashi, Mbogwe Mbunge wa Jimbo la Mbogwe mkoani Geita Nicodemas Maganga ametofautiana na madiwani wake wa halmashauri ya Mbogwe wakati wa kijadili kanuni ndogo na sheria ndogo ndogo ambazo zilipitishwa na madiwani akiwa hayupo ikiwemo ya kuweka mageti ya kuzuia utoroshaji wa mazao wafanyabiashara bila kulipa kodi ya halmashauri.
Hali hiyo ilikuja baada ya mbunge kugomea kanuni ya kuwekwa mageti ya kukusanyia ushuru akidai ilipitishwa Aprili 16, 2024 akiwa Bungeni na leo iendele kutumika huku wakati inapitishwa hakuwepo na wananchi hawa kushirikishwa.
Kabla ya amri ya mwenyekiti wa halmashauri hiyo ya kumufukuza kwenye kikao mbunge Maganga aliliambia baraza la madiwani kuwa wakati mnapitisha kanuni hii ilikuwa Aprili 16, 2024 nilikuwa Bungeni na mkaweka mageti sasa limeaza sakata la migogoro kwa wananchi kulalamika nimekuja Juni 30,2024 kutatua kero mageti yaondolewe sehemu zingine nimeshaanza kuyatoa.
Kufatia kauli ya Mbunge ndipo baraza la madiwani likamzomea huku madiwani wengine wakisikika wakisema wewe mbunge nisehemu ya madiwani na wakati madiwani wanajadili Aprili 16 mageti yalikuwepo hivyo mbunge anataka kukwamisha ukusanyaji wa mapato.
Kutokana na kelele za madiwani za kumzomea Mbunge ambazo zilizua taharuki kwa watalamu na wageni wengine waalikwa halmashauri ilimlazimu mwenyekiti wa halmashauri Visent Businga kumtuliza Mbunge huku akimtaka akaechini nakwamba katika halmashauri kunamiongozo na kanuni atazifuata na kuzisimamia mbunge alimjibu mwenyekiti simamia hizo kanuni.

Mwenyekiti Businga alitoa amri Mbunge atoke nje ambapo mbunge Maganga aliuliza sasaivi? Mwenyekiti akamjibu e ee Mbunge akamjibu sitoki na leo mwenyekiti utanijua mimi ninani ! Mwenyekiti akamjibu mbunge nitatumia mamlaka yangu na utaratibu utatoka mbunge alikachini akionekana anaasila.
Businga aliliambia baraza la madiwani kuwa Mbunge Maganga anacho kizungumza sio sahihi wakati wa kikao cha Aprili 16,2024 mageti kwenye maeneo amabayo yalikuwa na chagamoto za kutoroshwa mazao yalikuwa yamewekwa tangu zamani lengo nikuboresha ukusanya mapato ya ndani.
Diwani wa kata ya Lulembela Deus Lyakando akipinga hoja ya Mbunge Maganga alisema kanuni hii inamiaka 11imepitishwa na baraza la madiwani mwaka 2013 na kuipeleka kwa wananchi baada ya wananchi kulizia ilianza kutumika leo naomba tuiondoe hoja ya Mbunge itatuludisha nyuma ki maendeleo.
Lyakando aliogeza kwa kuomba kuwa kanuni za halmashauri zenye masirai mapana na halmashauri na Taifa ziendelee kusimamiwa yakiwemo mageti yaendelee kuwepo ili tukusanye mapato.

Diwani wa kata ya Lugunga Enock Magulu akimpinga vikali Mbunge Maganga aliwaomba viongozi wa chama na serikali ngazi ya wilaya ili kuijenga halmashauri ya Mbogwe kuacha kuvututana na kumuyumbisha mwenyekiti juu ya maazimio ya madiwani na kwamba viongozi hao kwenye baraza watabaki kushauri na ushauri kunakukubaliwa au kukataliwa.
"Nawaomba madiwani wezangu tusimamie kanuni zetu na kuzilinda hoja ya Mbunge haina mashiko naomba hata kama nitakosea mnisamehe na chama kama nimekosea mnisamehe mageti yaendele kuwepo", alisema Enock.
Diwani wa kata ya Ilolangulu Ndabacha Simon alilaani kitendo cha mbunge kwenda anatoa mageti huku akimuomba kutambua halmashauri nichombo cha wananchi na sio chombo cha mtu binafsi hivyo maamzi ya madiwani kupitia vikao halali yaheshimiwe kwa masirahi ya wananchi wa Mbogwe na Taifa kwa ujumla.
Ndabacha alisema lengo la madiwani kupitisha kanuni hiyo ilikuwa ni kuhakikisha inaturahisishia kuzibiti wafanyabiashara wa mazao ya chakula kutorosha bila kulipia ushuru.
Mbunge viti maalumu Mkoa wa Geita Rose Businga alisenq maamuzi ya baraza la madiwani yako sawa na kwamba wabunge nisehemu ya madiwani hivyo wanawajibu wa kusimamia kanuni walizo ziweka.
Rose aliongeza kuwa halmashauri inapaswa ikusanye mapato ya ndani ili miradi ya maendeleo iweze kukamilika na kwamba fedha hizo zitasaidia kukamirisha ujenzi wa vituo vya afya ili wananchi waaze kupata huduma nzuri za afya.
Mkuu wa Mbunge atofautiana na madiwani wakati wa kijadili kanuni ambayo ilipitishwa hayupo huku madiwani wakipiga kura za kumpinga Mbunge
Comments
Post a Comment