CHUI FC YATINGA FAINALI KWA KUICHAPA CAPENTER FC 1-0

 

Timu ya Chui fc imetinga fainali kwenye ligi iliyopewa jina la Kusema Na Kutenda KNK CUP msimu huu 2024 baada ya kuichapa Capenter fc 1-0 katika mchezo wa maludiano uliochezwa katika uwanja wa Bugelenga.


Mfungaji wa gori la Chui fc Price Dube dakika ya 34 ambae alitikisanyavu za Capenter katika mechi yao ya kwanza katika uwanja wa Ushirombo na kupelekea 1-1.

Nohodha wa timu ya Chui fc Jonas Jemes alisema timu zote zilikuwa zimejipanga ila ambayo ilijipanga zaidi imeshinda. 


Jemes alitumia na fasi hiyo kuwashukru wachezaji wezake kwa kujituma uwanjani kwa kufata maelekezo ya mwalimu wa timu. 


Nohodha wa timu ya Capenter fc Gasper Lucas alishukru Mungu na wachezaji walivyo jituma ila bahati mbaya kwao kwa kushindwa kutumia nafasi ambazo walipata kama walivyopata wapinzani na kuzitumia wameshinda.

Kocha mkuu wa timu ya Capenter fc Rinarti Maxsimo alisema matikeo wameyapokea na kwamba wanajipanga kutafuta mshindi wa tatu hakika watafanya fanya vizuri. 


Kocha mkuu wa timu ya chui fc Hussen Mnyeti alisema wamejioanga kuchukua ubingwa wa knk cup mwaka huu.


Mnyeti aliongeza kuwa kwa kushindi walipta kwenye mchezo wa leo umewapati dira ya kuchukuwa ubingwa wa ligi hii na kwamba itakuwa awamu ya pili kutinga fainali ikiwa na mwaka jana walicheza fainali na Butinzya fc 


Mratibu wa Mashindano ya KNK CUP Bosco Mwidad alisema kesho zitapimana nguvu timu ya Butinzya fc na Namonge fc katika uwanja wa Naomge. 


Amesema timu ya Butinzya inatarajia kusafiri kuifata Namonge Nyumbani  ikiwa michuano hiyo inachezwa Nyumbani na ugenini mabibgwa wa tarafa nne za ki soccer.

Comments