Na, Ernest Magashi, Bukombe
Ligi ya knk cup iliyoanza kutimua vumbi kila viwanja ngazi ya kata Julia 1,2024 inatarajia kuaza kutimua vumbi ngazi ya tarafa Agost 5, 2024 katika viwanja vya tafara kutafuta mbingwa ngazi ya tarafa.
Hayo ameyarleza mratibu Wa mashindano ya knk cup Wilaya ya Bukombe Bosco Mwidad kwenye ofisi za BSS kwalengo la ufafanuzi Wa maebdeleo ya ligi ya knk cup ilipo fikia.
Mwidad alisema ligi hiyo mwaka huu imeshirikisha timu 241 na kwamba mpaka sasa kila kata imecheza fainali ngazi ya kata na mshindi amesha patilana bado kata mbili Bukombe na kata ya Namonge ambazo zinatarajia kucheza fainali wiki hii ili kupata timu 17.
"tunarajia kukutana na viongozi wa vilabu 17 vya washindi ngazi ya kata ilikuchezesha Droo kila timu ijuwe inacheza na timu gani kusaka mshindi wa tarafa kutafuta ubingwa wa Wilaya", alisema Mwidad.
Akitoa wito kwa wananchi kuendelea kujitokeza kwenye viwanja vinavyo kutanisha mabigwa wa kata kuwania ubingwa ngazi ya tarafa kwa kufanya biashara ndogondogo na kushangilia pia timu kwa kupata burudani mbalimba za kimichezo zinazo tokana na mdhamini wa ligi knk Mbunge wa jimbo la Bukombe na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko.
Comments
Post a Comment