Na, Ernest Magashi, Kahama
Timu ya Bukombe Combine sports Club imefanikiwa kutinga robo fainali ya ligi ya Gold Fm bada ya kuipa kichapo cha mabao 3-0 timu ya Uvccm fc ya kahama katika mchezo wa marudiano uwanja wa Taifa Kahama.
Mfugaji wa Bukombe Combine sc Aly Kasagula dakika ya 38 na Emanuel Singi dakika 46 na Mboma Alhoo dakika ya 68.
Nohodha wa Bukombe Combine SC Visent Buyenze alianza kwa kushukru Mungu na wachezaji huku akiwashukulu wachezaji wenzie walivyo jituma.
Buyenze alisema wameshida kwa kufata maelekezo ya mwalimu nakwamba wana malengo ya kuendelea kujituma ili kufikia malengo ya timu.
Nahodha wa timu ya Uvccm fc ya Kahama Japhet Elias alisema wameadhibiwa kwa makosa ambayo wameyafanya ila watajipanga mwakani.
Comments
Post a Comment