DKT. BITEKO AKAGUA MITAMBO YA UMEME YA NEW PANGANI (MW 68)

📌Ataka matengenezo yafanyike kwa kasi na umakini*

*📌Aiagiza TANESCO kufanya ukaguzi mara kwa mara kwenye vituo vya umeme*

*📌Awasha umeme kijiji cha Ngomeni Muheza*

*DKT. BITEKO AKAGUA MITAMBO YA UMEME YA NEW PANGANI (MW 68)* 

*📌Ataka matengenezo yafanyike kwa kasi na umakini*

*📌Aiagiza TANESCO kufanya ukaguzi mara kwa mara kwenye vituo vya umeme*

*📌Awasha umeme kijiji cha Ngomeni Muheza*

*📌Asifu viongozi wa Tanga kwa umoja walionao*

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo amefanya ukaguzi wa mitambo ya umeme inayokarabatiwa katika kituo cha umeme cha New Pangani (MW 68) ambacho kilisimama kuzalisha umeme kwa zaidi ya wiki mbili kutokana na hitilafu na kuwaagiza Wataalam waTANESCO kufanya kazi hiyo kwa kasi na umakini ili kukamilisha matengenezo hayo ambayo yapo ukingoni.

Katika ziara yake kwenye kituo hicho kilichopo  wilayani Korogwe mkoani Tanga, Dkt. Biteko aliambatana na viongozi mbalimbali akiwepo Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu, Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dunstan Kitandula, Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba.

“ Nawap

Comments