KINANA NA DKT. BITEKO WAZURU KABURI LA HAYATI RAIS MAGUFULI

Leo Disemba 12,  2023, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko wamezuru na kufanya sala kwenye kaburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake, Chato mkoani Geita.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana akisaini kitabu cha wageni wakati alipozuru na kufanya sala kwenye kaburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati  Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake, Chato mkoani Geita.


Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana akiweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuzuru na kufanya sala kwenye kaburi hilo, Chato mkoani Geita.



Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko wakifanya sala kwenye kaburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake, Chato mkoani Geita.


Comments