YANGA YAENDELEZA UBABE WAKE, YAIBUTUA COASTAL GOLI 1-0


 

Yanga imeifunga Coastal Union goli 1-0 kwenye Uwanja wa Mkwakwani Mkoani Tanga kwa goli la Clement Mzize aliyefunga katika dakika ya 70


Yanga imeendelea kuongoza Msimamo wa Ligi kwa kufikisha pointi 24 ikiwa ni siku chache tangu ilipoifunga Simba magoli 5-1


Mchezo huo wa Tanga ulikuwa na ushindani mkali na kushuhudiwa jumla ya kadi za Njano 12 zikitolewa, 7 kwa Coastal na 5 kwa Yanga.

Comments