MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAZAZI WILAYA YA BUKOMBE AMEWATAKA WAZAZI KUTOWAFICHA WATOTO WENYE ULEMAVU

 

Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi wilaya ya Bukombe amewataka wazazi kutowaficha watoto wenye ulemavu badala yake wawapeleke shule.

Ameyasema hayo wakati wa ziara ya kata kwa kata alipofika Kwenye kata ya bugelenga alipokuwa akizungumza na Wanachama wa Jumuiya ya UVCCM,UWT na Jumuiya ya Wazazi.


M/Kiti ya Jumuiya ya Wazazi pia amewaonya Wazazi ambao wanachukua fedha ilikuwaozesha watoto wao na kuwakatisha masomo yao wakati serikali inatenga fedha na kwa kujenga shule na kuwapa elimu bure






Nae Mwenyekiti wa Umoja wa vijana Wilaya ya Bukombe Nelvin Salabaga Ndugu amezishukuru Jumuiya zote tatu kwa kuwaamini na kuwachagua kuwa viongozi wao na kuwaahidi kuwa watafanya kila liwezekalo ili kuzipa uhai Jumuiya hizo 



Comments

Post a Comment