Bukombe Combine Sports Club Yayinga fainali ligi daraja la tatu Mkoa wa Geita baada ya kutoa kichapo cha gori 3-0 Iponya fc
ERNEST MAGASHI
Bukombe Combine Sports Club tayinga fainali ligi daraja la tatu Mkoa wa Geita baada ya kutoa kichapo cha gori 3-0 Iponya fc
Wafungaji wa timu ya Bukombe Combine Sporst Benedicto Julius dakika ya 34
Lazaro Petro dakika ya 68
Saimon Sunzu dakika ya 76.
Nahodha wa timu ya Bukombe Combine Sprts Club Visent Buyenze ameanza kwa kumshukru Mungu na wachezaji kwa ushirikiano mzuri uwanjani na kwamba wataendelea kupambana ili wachukue Ubingwa wa ligi daraja la tatu mkoa.
Nahodha watimu ya Iponya fc Juma Wilison amesema mpira huwa unamayokeo matatu kushindwa na kushinda au droo hivyo hawa wezetu wameshinda.
Mwalimu wa timu ya Bukombe Combine fc James Kishimba amesema amejipanga kuchukua ubingwa kitokana na wachezaji wa ko fiti.
MWISHO
Comments
Post a Comment