VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA SHIKAMANENI ILI KUIJENGA BUKOMBE

 



Ernest Magashi,


Bukombe. Viongozi wa vyama vya siasa vyote vya siasa wametakiwa kuwa wamoja katika kuhamasisha maendeleo hawa wakati Serikali inapo leta fedha za utekelezaji wa miradi.



Wito huo umetolewa na Mbunge wa jimbo la Bukombe Dk Doto Biteko wakati akihutubia mkutano wa hadhara uliokuwa umeandariwa kwaajili ya kuja kuwashukru wananchi kumuamini na kumvhagua kuwa mbunge na Rais Samia amemuamini na kumpa nafasi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati.


DK Biteko aliwaomba viongozi wa chama chake cha CCM Wilayani humo kupendana na kuwapenda waupinzani lengo ni kuijenga Bukombe.



Alisema maedeleo hayaletwi na siasa amazo hazina vitendo hivyo kwa umoja wetu kama viongozi wa CCM tusiwajibu kwa maneno wanao tukosoa tuwajibu kwa vitendo hasa kwa kutekeleza miradi ya maendeleo.


"Tutapimwa kwa kufanya kazi na uajibikaji hivyo tupendane na upendo huza matikeo mazuri ya amani na kwa watubambao wanapendana maendeoe huwa yana kimbia kwasasabu kunaupendo niahidi kuwa kiteuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa nishati",


" hauta athili ziarazangi jimboni nitakuja sana najuwa nitatumwa na Rais Samia hapa huku na kure lakini nitakuja na maendeleo yataonekana ", alisema Dk Biteko.





Dk Biteko iwaomba viongozi wa mathehebu ya dini waendele kulionbea Taifa na viongozi wake ili Mungu awalinde na waedele kuchapa kazi ya kuwaletea maendeleo wananchi kama Rais Dk Samia anavyo fanya kazi kubwa ya kutafuta fedha ili miradi ioshe kwa wakati.


Awali Mkuu wa Mkoa wa Geita Martine Shigela alimwambia Waziri wa Nishati kuwa Chagamoto umeme mkoani Geita inaeda kuisha ikiwa Mkoa wa Geita ikiwemo Wilaya ya Bukombe kunavijiji 4088 kati ya vijiji hivyo vijiji 4037 vimefikiwa umeme bado vijiji 52 na wakandarasi wamesha vigikia wamebakiza vijiji vitatu.


"Mhe, mgenirasmi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati nikupongeze kwa kuteuliwa kwa nafasi hizo mbili nikuhakikishie vijiji ambavyo habija fikiwa na umeme katika mkoani Geita mda sio mrefu kila kijiji umeme utawaka na wananchi wanatumia nishati ya umeme kwa kufanya shuvhuli mbali mbali za kuingiza kipato na kukuza uchumi wa familia zao", amesema Shigela.


Mbunge wa jimbo la Chato Dk Medardi Karemani aliwaomba wananchi kuendelea kumuuga mkono Mbunge Dk Biteko na kwamba nimzoefu wa kazi za Wizara aliwahi kuwa mwenyekiti wa kamati ya nishati Bungeni ilifanya vizuribwakati mie ni Waziri wa wizara hiyo hivyo kila kijiji hakika Umeme utafika.


Mwenyekiti wa UWT Taifa Mery Chitanda aliwaomba wananchi kuedelea kushirikiana na mbunge wao kwa kushiriki kikamirifu shughuli za maedeleo kwa kuibua miradi ili Serikali ilete fedha.


 amesema wanabukombe mmeza mtoto mzuri Biteko imempendeza Rais kumteua kwakuwa nimpole mstarabu mnyenyekevu hivyo inatakiwa mumuunge mkono.


"niko mkoani hapa Geita kwaziara ya UWT ambayo itaanza kesho Septemba 25,2023 ila nimeona kuugana na Dk Biteko kijana mwema wa Bukombe.


Waziri wa madini Mavunde akiwa kwenye mkutano wa Dk Biteko alisema abaada ya kuteuliwa kuiongoza Wizara hiyo anajalibu kuvaa viatu vya Dk Biteko na atapambana kuhakikisha misingi aliyo iweka inasimamia ili watanzania waweze kunufaika na rasilimali madini.


"Naibu Waziri Mkuu na Wizara ya Nishati katika Wizara ninayo isimamia umeacha misingi mikubwa ikiwa madini yanachagia pato kubwa kitaifa hivyo naahidi nitasimamia misingi yako ili kuimarisha uchumi wa wananchi kupitia madini", alisema Mavunde.


Mbunge viti maalumu mkoa wa Geita Rose Businga alisema wataendelea kuunga mkono jitihada za Dk Biteko kwa kazi anazo zifanya na jimbo lake litakuwa salama.


MWISHO

Comments