MASHEKHE WAUNGANA NA MAASKOFU KUENDELEZA VITA KUPINGA NA KULAANI USHOGA


Bukombe. Shekhe mkuu mkoa wa mwanza Hassan Kabeke na Shekhe mkuu mkoa wa Geita Alhaj Kabaju wameungana na viongozi wa madhehebu ya dini za kikiristo wakiwemo maskofu kupiga vita ndoa za jinsia moja nchini.


Shekh Kabeke alitoa kauri hiyo wenye Afla fupi ya Ifutari iliyokuwa imeandaliwa na Mbunge wa jimbo la Bukombe Dk Doto Biteko ambae amekuea akifanya hivyo tangu 2016.


Kabeke aliaza kwa kuipongeza serikali akiwemo Ras Samia Hassan Suluhu na Waziri Mkuu Kassm Majaliwa Makamu wa rais  Philipo Mpango na Bunge kuto mwelekeo wa serikali ambavyo haiungi moono Ushonga haliambayo hata sisi viongozi wa dini hatu ungi mkono badayake tunalani.


Alisema Ushonga ni ni vitendo vya uzaririshaji na nizambi mnaya sana wa mwenyezi Mungu ikiwa matendo hayo yalimchukiza Mungu hadi akaichoma moto nchi ya sodoma na gomora hadi leo inawaka moto.


Shekhe Kabaju alisema licha ya serikali kukemea vitendo hivyo na viongozi wa dini wazazi na walezi ni wajibu wao kulea watoto kwa kuzingatia madili ya kitanzani.


Askofu wa kanisa la Ufunuo jimbo la Geita Heryyabeana Majebele aliomba serikali kuongeza nguvu kuchunguza shule za twisheni licha ya kufuta wanafunzi kuanzia darasa la awali hadi la nne kuwa shule za bidingi badalayake wakae na wa zazi wao kwa umri hio kwa malezi bora.


Katibu tawala mkoa wa Geita 

Profesa Godius Kahyarara akipokea pongezi za serikali kutoka kwa viongozi wa madhehebu ya dini aliwaomba kuendelea kuombea viongozi wa serikali akiwemo waziri wa madini  Dk Biteko kwa kazi nzuri anayo ifanya katika wizara ya madini ya kupandisha pato la taifa kupitia wizara.


Profesa Kahyarara aliwahakikishia viongizi hao kuwa serikali itafanyia kazi ushauri wao lego nikujenga taifa lenye madili mazuri.



Dk Biteko akiwashukru watu wote walio fika kwenye afla hiyo  aliwaomba wananchi kuendelea na mshikamano kwa kufanya kazi za kuleta maendeleo kwa kuijenga Bukombe.


Alisema wazazi kulea watoto kwankuzingatia pia madili ya kimungu nakwamba watoto wa kizazi kijacho kinatakiwa kifrahi kwa maendeleo ambayo tunayafanya kupitia serikali.


MWISHO

Comments