Waziri Biteko ashiriki Mkutano wa Asasi za Kiraia (AZAKI) uliofanyika katika ukumbi wa Royal Village jijini Dodoma


Waziri wa Madini Doto Biteko akizungumza jambo kwenye Mkutano wa Asasi za Kiraia (AZAKI) uliofanyika katika ukumbi wa Royal Village uliopo jijini Dodoma

Zito Kabwe akizungumza jambo kwenye Mkutano wa Asasi za Kiraia (AZAKI) uliofanyika katika ukumbi wa Royal Village uliopo jijini Dodoma
Mwenyekiti wa bodi ya Taasisi ya Uwazi na Uwajibikaji katika Rasilimali Madini (TEIT) Ludovick Utouh
Waziri wa Madini Doto Biteko (kushoto) akijadili jambo na Zito Kabwe (kulia) kabla ya Mkutano wa Asasi za Kiraia (AZAKI) uliofanyika katika ukumbi wa Royal Village uliopo jijini Dodoma
Waziri wa Madini Doto Biteko (katika) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa bodi ya Haki Rasilimali kabla ya Mkutano wa Asasi za Kiraia (AZAKI) uliofanyika katika ukumbi wa Royal Village jijini Dodoma

Baadhi ya wajumbe walioshiriki Mkutano wa Asasi za Kiraia (AZAKI) uliofanyika katika ukumbi wa Royal Village jijini Dodoma


 

Comments