MBIO MAALUMU ZA MWENGE 2021- BUKOMBE


























Mwenge Maalum wa Uhuru umehitimisha rasmi mbio zake Wilayani Bukombe kwa kuzindua jumla ya Miradi 12 yenye thamani ya sh1.1 bilioni.

Kukagua mradi wa barabara ya lami na kuzindua mradi wa vyumba vya madarasa shule ya Msingi Uyovu na kuweka jiwe la msingi huku mradi wa maji Bungazu ukifunguliwa na mradi wa Kiwanda cha kuchakata asali aliweka jiwe la msingi.

Miradi hiyo ya Bukombe ni ya Maji Elimu,Afya,Rushwa,Kupambana na Dawa za Kulevya na Barabara na Kiwanda cha Nyuki na Serikali kupitia Mfuko wa Misitu Tanzania (TaFF) na Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe na hadi kukamilika mradi huo utagharimu Tsh Milioni 628.


Kwa upande wake Kiongozi wa Mbio za Mwenge aliupokea mradi kwa niamba yawezake kitaifa na kuweka jiwe la msingi.

 "Nawapongeza sana Viongozi wa Bukombe kwa usimamamizi mzuri wa Miradi ya Maendeleo."Alisema Josephine.

Comments