Skip to main content

PICHAZ:RAIS DK.MAGUFULI ALIVYOCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA KITI CHA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika Begi leye Fomu ya Kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 pamoja na Mgombea Mwenza Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuchukua Fomu hizo katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma leo tarehe 6 Agosti, 2020.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika Begi la Fomu ya Kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM White House jijini Dodoma mara baada ya kuchukua Fomu.

Comments