Doto Mashaka Biteko achukua fomu ya Ubunge - Bukombe








Mgombea wa nafasi ya Ubunge jimbo la Bukombe na  Waziri wa Madini  Mhe Doto Mashaka Biteko Ijumaa Agosti 21,2020 amechukua fomu ya kugombea tena nafasi hiyo kwa msimamizi wa uchaguzi wa jimbo la Bukombe Ndugu Dionis Myinga




 

Comments