RAIS DKT MAGUFULI AKIWA NA WASANII IKULU CHAMWINO JIJINI DODOMA



 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata picha ya kumbukumbu na wasanii waliofika pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama hicho kutembelea Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma leo Jumapili Julai 12, 2020

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo wakati akipata picha ya kumbukumbu na wasanii waliofika pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama hicho kutembelea Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma leo Jumapili Julai 12, 2020

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana naMsanii  Diamond Platnumz aliofika pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama hicho kutembelea Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma leo Jumapili Julai 12, 2020


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Babu Tale aliofika pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama hicho kutembelea Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma leo Jumapili Julai 12, 2020


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana naMsanii Ali Kiba  aliofika pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama hicho kutembelea Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma leo Jumapili Julai 12, 2020


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana naMsanii  Harmonize aliofika pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama hicho kutembelea Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma leo Jumapili Julai 12, 2020


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Msanii Nandy aliofika pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama hicho kutembelea Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma leo Jumapili Julai 12, 2020

Comments