UDHAMINI WA WANACCM KWA MGOMBEA URAIS



Wanachama 1,123,011 wa Chama cha Mapinduzi wamemdhamini RAIS ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Ndugu John Pombe Magufuli ili agombee nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kipindi cha pili.

Mgombea anayeomba kugombea Urais kupitia CCM anapaswa kuwa na wadhamini 250 kwa nchi nzima

Comments